sw_tn/2ki/09/21.md

423 B

kila mmoja kwenye gari lake la farasi

"kila mmoja katika gari lake mwenyewe la farasi" (UDB)

kila mmoja kwenye

"Walipomfikia Yehu, alikuwa kwenye"

Nabothi

Hili ni jina la mwanamume.

Myezreeli

Hii inarejea kwa mtu kutoka Yezreeli.

Amani gani hapo, wakati uzinzi wa ukahaba hufanywa na uchawi wa mama yako Yezebeli umejaa tele?

Yehu anatumia hili swali lisilohitaji majibu kueleza kwa nini haji kwa amani.