sw_tn/2ki/09/14.md

1.3 KiB

Nimshi

Nimshi ni jina la baba wa Yehoshafati

Basi Yoramu

Hili neno limetumika hapa kuvunja alama katika hadithi kuu. Hapa mwandishi anaeleza habari ya historia jinsi Yoramu alivyokuwa amejeruhiwa na kwenda kupona katika Yezreeli.

Israeli yote

Hii inarejea kwa jeshi la Waisraeli pekee na sio kwa kila mmoja aishie katika Israeli. "yeye na jeshi lake" au "yeye na jeshi la Israeli"

kuponywa

"kupona kutokana na"

majeraha aliyokuwa ameyapewa na Washami

Hii inamaanisha kwamba alikuwa amejeruhiwa katika vita pamoja na Washami. "majeraha ambayo Yoramu aliyapata kipindi cha vita pamoja na jeshi la Shami"

juu ya Hezekia mfalme wa Shamu

Hii inamrejea Hazaeli na jeshi lake. "juu ya na jeshi lake"

Hazaeli

Hazaeli alikuwa mfalme wa Shami

Yehu aliwaambia watumishi wa Yoramu

Hii inawarejea maafisa waliokuwa pamoja na Romath Gileadi.

Kama hili ni wazo lako

"Kama upo kwenye makubaliano pamoja nami" Yehu anatumia hili neno kurejea kama watu wanamuunga mkono kuwa mfalme na maamuzi yake. "Kama kweli mnataka niwe mfalme wenu"

ili kwenda kusema hizi habari katika Yezreeli

Hii inarejea kumwambia Yoramu na jeshi lake la mbinu za Yehu. "kumuonya mfalme Yoramu na jeshi lake katika Yezreeli"

Basi Ahazia

Neno "basi" limetumika hapa kuvunja alama katika kichwa cha hadithi. Hapa mwandishi anaeleza habari za nyumba kuhusu Ahazia kumtembelea Yoramu.