sw_tn/2ki/09/11.md

728 B

watumishi wa bwana wake

Hii inarejea kwa maafisa wengine waliokuwa wakimtumikia Mfalme Ahabu.

mwenda wazimu

"mtu mjinga"

Unamjua huyo mtu na mambo asemayo

Yehu asema kwamba yeye ni nabii mdogo na wote ni familia pamoja na aina ya mambo yote ya jumla yasemwayo na manabii.

Tuambie

"Tuambie alichokwambia"

Amesema hivi na vile juu yangu

"Alinena kuhusu baadhi ya mambo"

kila mmoja wao akachukua vazi haraka na kuweka chini ya Yehu

Katika utamaduni hii, kuweka nguo juu ya ardhi ilikuwa njia ya kumheshimu mfalme, ili kwamba miguu yake isiguse ardhi kavu.

Wakapiga baragumu na kusema

Sio kila mmoja alipiga baragumu. Inaelekea mtu mmoja alipiga tarumbeta. "mmoja wao walipiga tarumbeta na wote walisema"