sw_tn/2ki/09/07.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Nabii mdogo anaendelea kunena na Yehu, ambaye alikuwa amepakwa mafuta kama mfalme juu ya Israeli.

niweze kulipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii, na damu ya watumishi wote wa Yahwe

Hapa manabii na watumishi "damu" linarejea kwa vifo vyao. "naweza kulipa kisasi cha kifo cha watumishi wangu manabii na watumishi wote wa Yahwe" au "hivyo basi ninaweza kuwaadhibu kwa kuwaua watumishi wangu manabii na watumishi wote wa Yahwe"

na damu

Neno linalokosekana "kulipa kisasi" linaweza kuongezwa "na kulipa kisasi cha damu"

nani aliuawa kwa mkono wa Yezebeli

"ambaye Yezebeli aliwaamuru watumishi wake kuua"

kwa mkono wa Yezebe

Hii inamaanisha kwamba Yezebeli aliwaamuru watu kuuawa. "kwa agizo kutoka Yezebeli" au "kwa amri ya Yezebeli"

Kwa kuwa nyumba yote ya Ahabu itaangamia, na nitamkatilia mbali kila mtoto wa kiume wa Ahabu

Hapa ku "kata" maana yake kuuawa. "Kwa ajili ya familia yote ya Ahabu itaangamia, na nitamfanya kila mtoto wa kiume katika familia yake kuuawa" au "Kila mwanajumuiya wa familia ya Ahabu atakufa, pamoja kila mtoto wa kiume"

kila mtoto wa kiume

Hili neno limetumika kumrejea kila mwanamume, lakini imwekwa bayana "mtoto