sw_tn/2ki/09/01.md

554 B

wana wa manabii

Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, walikuwa kundi la manabii.

katika mkono wako

Neno "katika mkono wako" ni lugha inayomaanisha kwake yeye kushika chupa pamoja naye. "pamoja nawe"

Ramothi Geliadi

Hili ni jina la kiume.

Yehu mwana wa Yehoshafati mwana wa Nimshi

Hii inamaanisha kwamba Yehoshafati ni baba yake na Yehu na kwamba Nimshi ni baba yake Yehoshafati.

marafiki

Hawa ni watu ambao Yehu aliokuwa ameketi nao.

kumpeleka

"kwenda pamoja naye kwa"

chumba cha ndani

"chumba binafsi"