sw_tn/2ki/08/25.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Ahazia akawa mfalme wa Yuda.

Katika mwaka wa kumi na mbili wa Yuoramu mwana wa Ahabu, mfalme wa Israeli

Hii inaeleza mda ambao Ahazi alianza kutawala kama mfalme wa Yuda kwa kusema ni mda gani Yoramu, mfalme wa sasa wa Israeli, alitawala, "katika mwaka wa kumi na mbili ambao Yoramu mwana wa Ahabu alikuwa mfalme wa Israeli"

mwaka wa kumi na mbili

"mwaka wa 12"

miaka ishirini na mbili

ishirini na mbili - miaka 22"

Athalia ... Omri

Athalia ni jina la mwanamke. Omri ni jina la mwanamume.

Ahazia alienenda katika njia za

Hapa "enenda" inarejea tabia yake au vile alivyoishi. "Ahazia aliishi kama wengine"

nyumba ya Ahabu

Hapa "nyumba" ya Ahabu inarejea kwa familia yake. "familia ya Ahabu"

alifanya yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

Hapa "uso" wa Yahwe unawakilisha kile afikiriacho. "alifanya mambo ambayo Yahwe aliyahesabu kuwa maovo" au "alifanya mambo ambayo Yahwe alisema yalikuwa maovu"

mkwewe kwenye nyumba ya Ahabu

mkwewe kwenye nyumba ya Ahabu* - Hii inaielezea mahusiano ya familia ya Ahazia kwa Ahabu. Baba yake na alimuoa binti wa Ahabu. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi. "mwana wa mkwewe na Ahabu" au "mjukuu wa Mfalme wa Ahabu"