sw_tn/2ki/08/13.md

810 B

Mtumwa wako ni nani, ambaye atafanya hili jambo hili kubwa

Hazaeli anarejea kwake mwenyewe hapa kama mtumishi wa Elisha. Hazaeli anatumia hili swali lisilodai jibu kusisitiza kwamba hafikirii angefanya mambo mabaya ambayo Elisha ameyasema.

jambo hili kubwa

"jambo hili kubwa." Hapa neno "kubwa" linarejea kwa kitu ambacho kina madhara makubwa na kibaya.

Yeye ni mbwa tu

Hazaeli anajizungumzia mwenyewe. Anaongea kwa hali ya chini na kupungukiwa na ushawishi kwa kujilinganisha na mbwa. Hapa mbwa anawakilisha mbwa mnyama wa chini.

kuja kwa bwana wake

Neno "bwana wake" inamrejea Ben Hadadi.

uso hivyo basi akafa

Hii inamaanisha kwamba Ben Hadadi akakosa hewa kwenye blangeti. Maana kamili ya hii sentensi inaweza kuwekwa wazi. "uso. Ben Hadadi hakuweza kupumua kupitia hiyo, na hivyo akafa"