sw_tn/2ki/08/01.md

347 B

Sasa

Hili neno linatumika hapa kugawanya mwanzoni mwa hadithi. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya hadithi.

yule mwanamke ambaye mwanaye alifufuliwa

Hadithi ya huyu mwanamke na mwanaye inapatikana kwenye 4:8.

alifufuliwa

"alisababisha akafufuliwa tena"

Inuka

"kuinika kutoka ulipo"

mtu wa Mungu

"Elisha, mtu wa Mungu"