sw_tn/2ki/07/18.md

1.1 KiB

Maelezo ya Jumla:

Katika huu mstari, mwandishi amefupisha kilichotokea kwa kurudia matukio ambayo alielezea katika 7:1.

Mda kama huu

"Mda kama huu kesho"

vipimo viwili vya shayiri ... kipimo kimoja cha unga mzuri

Hapa neno "kipimo" unatafsri neno "sea," ambayo ni umoja wa kipimo kikavu sawa na lita 7. "lita 14 za shayiri ... lita 7 za unga mzuri"

shekeli

Shekeli ni moja ya uzito sawa na kama gram 11. "kama gram 11 za fedha" au "fedha moja ya sarafu"

Ona

"sana." Neno "Ona" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.

hata kama Yahwe akiweka madirisha mbinguni

Yahwe analeta mvua kubwa sana kunyesha kwa ajili ya kufanya mimea ikue inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa akifungua madirisha mbinguni ambavyo ashuahapo mvua chini.

je hili jambo linaweza kutokea?

Nahodha anauliza hili swali kuelezea kutokuamini kwake. Hili swali linaweza kuatafsiriwa kama kauli.

utaona ikitokea kwa macho yako mwenyewe

Neno "kwa macho yako mwenyewe" linasisitiza kwamba nahodha anaona bila shaka mambo ambayo Elisha aliyoyatabiri.

lakini hutakula chochote katika hicho

"lakini hutakula chochote katika unga au shayiri"