sw_tn/2ki/07/12.md

692 B

walichotufanyia

"kinachopangwa kufanywa kwetu" au "walichofanya kutudanganya"

kuwakamata wakiwa hai

Hii inamaana kwamba wangewakamata watu na sio kuwaua.

farasi waliobaki, ambao waliobaki katika mji

Farasi wengi ni mali ya Waisraeli walikufa kwa sababu ya njaa. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi. "farasi katika mji ambao bado wako hai"

Wako kama mkutano wote wa Israeli waliobaki

Watu watakao enda kwa kambi ya Washamu watashiriki mauti ile ile kama mabaki ya Waisraeli waliobaki katika mji. Pengine watakufa kwa njaa, au labda kuwa kama karibu na Washami.

na tazama

Habari ya wazi inaweza kuongezwa kufanya maana wazi. "na tazama kama hawa wakoma walichokisema ni kweli?