sw_tn/2ki/07/09.md

567 B

hadi macheo

"hadi asubuhi"

adhabu itatupata

Mmoja anawaadhibu watu wanne anazungumziwa kana kwamba adhabu ilikuwa mtu awakamataye. "watu watatuadhibu" au "mtu atatuadhibu"

waambie kaya ya mfalme

Hapa neno "kaya" inawakilisha watu ambao waishio katika nyumba ya mfalme. "mwambie mfalme na watu wake"

kama walivyokuwa

Habari za wazi inaweza kusambazwa katika tafsiri. "kama walivyokuwa wakati maaskari walipokuwa huko"

ndipo walipoambiwa ndani ya kaya ya mfalme

Hii inaweza kuanza katika muundo tendaji. "kisha watu waliiambia nyumba kaya ya mfalme"