sw_tn/2ki/07/03.md

513 B

Sasa

Hili neno limetumika hapa kuvunja alama katika hadithi kuu. Hapa mwandishi anaanza kueleza mwanzo wa hadithi.

Kwa nini tuketi hapa hadi tutakapokufa?

I+ngawa hapa kulikuwa na watu wanne, ni kama mmoja wao aliuliza hili swali. Hili swali ni swali lisilo na majibu

Kama wakitupa uhai, tutakuwa hai, na kama wakituua, tutakufa tu

Wale watu wanne wenye ukoma wanasema kwamba Waaramu wangeweza kuwajaza ili kwamba waweze kuishi, au wanaweza kuwaua, ambapo hakutakuwa na ubaya zaidi wangekufa vyovyote.