sw_tn/2ki/07/01.md

1.6 KiB

kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli

Inaeleza kwamba Waisraeli watakuwa wakilipa pesa kidogo kwa ajili ya hivi vitu kuliko walivyokuwa. Hii inaweza kuanza katika muundo tendaji. Watu watanunua kipimo cha unga mzuri kwa shekeli moja na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja"

kipimo kimoja cha unga mzuri ... vipimo viwili vya shayiri

Hapa neno "kipimo" linatafsiri neno "sea," ambacho ni kipimo kikavu sawa na kama lita 7. "lita 7 za unga mzuri ... lita 14 za shayiri"

shekeli moja

Shekeli moja muunganiko wa uzito sawa na kama gram 11. "kama gram 11 za fedha" au Fedha moja ya sarafu"

nahodha ambaye mkono wake mfalme alijifunza

Cheo cha juu cha nahodha ambaye alikuwa msaidizi wa mfalme anazungumziwa kana kwamba mtu ambaye mfalme alijifunza mkono wake. "nahodha ambaye alikuwa karibu na mfalme" au "nahodha ambaye alikuwa msaidizi"

hata kama Yahwe angefanya madirisha mbinguni

Yahwe anafanya mvua kubwa kunyesha ili kufanya mimea kukua inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa akifungua madirisha mbinguni kupitia ambavyo amwagapo mvua chini. "hata kama Yahwe alisababisha mvua kubwa kunyesha kutoka mbinguni"

hili jambo linaweza kutokea?

Nahodha anauliza hili swali kueleza kutokuamini kwake. Hili swali lisilo na majibu linaweza kutafsiriwa kama kauli. "hii haitatokea!"

utaona ikitokea kwa macho yake mwenyewe

Neno "kwa macho yako mwenyewe" linasisitiza kwamba nahodha hakika ataona mambo ambavyo Elisha alivyovitabiri. "wewe mwenyewe utaona haya mambo yakitokea"

lakini hutakula chochote katika hicho

"lakini hutakula unga wowote au shayiri"