sw_tn/2ki/06/24.md

855 B

Ben Hadadi

Jina la mfalme wa Shami. Jina lake linamaanisha "mwana wa Hadadi."

kuiteka Samaria

Mfalme na jeshi lake waliiteka Samria. "waliiteka Samaria"

Tazama

Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuvuta usikivu kwenye habari za kushangaza zinazofuata.

kichwa cha punda kiliuzwa kwa

"gharama ya kichwa cha punda

vipande themanini vya fedha

"vipande 80 vya fedha"

sehemu ya nne ya kibaba

Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. "sehemu ya nne ya lita" au " robo ya lita"

sehemu ya nne

"sehemu ya nne." Hii ni sehemu moja ya nne yenye sehemu sawa sawa.

kinyesi cha njiwa kwa

Neni linalokosekana linaweza kuongezwa. "kinyesi cha njiwa kiliuzwa kwa" au "ghara ya kinyesi cha njiwa"

akipita juu ya ukuta

"kutembea juu ya mji wa ukuta"

bwana wangu

Mwanamke anarejewa kwa mfalme kwa hili jina kumwonyesha heshima.