sw_tn/2ki/06/20.md

700 B

Ikawa kuhusu hilo

"Ikatokea kwamba" au "Kisha,"

fungua macho ya hawa watu ili waweze kuona

Elisha anamuuliza Yahwe kuwafanya watu kuona dhahiri tena. "ruhusu hawa kuona".

Yahwe alifungua macho yao na wakaona

Yahwe aliwaruhusu watu kuona dhahiri tena. "Yahwe aliuchukua upofu wao" au "Yahwe aliwaruhusu kuona dhahiri"

tazama

Neno "tazama" hapa linaonyesha Washami walishangazwa kwa kile walichokiona

wakati alipowaona

"wakati alipowaona maaskari Washami"

Baba yangu

Mfalme anazungumza na Elisha nabii na kumuita "baba" kuonyesha heshima.

niwaue? niwaue?

Hapa mfalme wa Israeli anarejea kwa jeshi lake kama yeye mwenyewe. "Niliagize jeshi langu kuwaua hawa maadui maaskari?"