sw_tn/2ki/06/14.md

579 B

Hivyo mfalme

Hii inarejea kwa mfalme wa Sshami.

mtu wa Mungu

"Elisha, au "Elisha mtu wa Mungu"

tazama

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba mtumishi alishangazwa na kile alichokiona.

aliinuka mapema na kutoka nje, tazama

"kuinuka mapema asubuhi na kutoka nje, na akamuona"

Mtumishi wake akamwambia

Mtumishi amerudi ndani ya nyumba kumwambia Elisha alichokuwa amekiona.

wale walio na sisi ni zaidi kuliko wale walio nao

"Kuwa na mtu" katika vita inamaanisha kupigana kwa ajili yao. "wale walio upande watu katika vita ni zaidi kuliko wale walio upande wao"