sw_tn/2ki/06/10.md

985 B

kwenda pale sehemu ambayo mtu wa Mungu alipaongelea na kumtahadharisha

Hii inarejea kwenye eneo ambalo Elisha alililokuwa amemuonya mfalme katika 6:8.

Zaidi ya mara moja au mara mbili, wakati mfalme alipoenda huko, alikuwa juu ya ulinzi wake

Elisha alimuonya mfalme ambapo jeshi la Washami wangewashambulia ili kwamba angewataarifu watu kabla ya kushambuliwa. "Elisha alimuonya mfalme wa Israle katika njia hii mara nyingi na Waisraeli waliweza kukaa salama"

Je hamtaniambia ni nani miongoni mwetu aliye upande wa Israeli?"

Mfalme wa Shami anasadiki kuna msaliti miongoni mwa maaskari wake ambao anawapa habari mfalme wa Israeli. Anauliza hili swali lisilihitaji kujibiwa kujaribu kutafuta huyo msaliti ni nani.

ni kwa ajili ya mfalme wa Israeli

"Kuwa kwa ajili ya mtu mmoja" inamaanaisha kuwa mwaminifu kwa huyo mtu. Katika hii kesi, inamaanisha kwamba wangewapa habari kumsaidia mfalme wa Israeli. "anamsaidia mfalme wa israeli" au "ni mwaminifu kwa mfalme wa Israli"