sw_tn/2ki/06/08.md

731 B

Basi mfalme wa Shamu alikuwa akipigana vita dhidi ya Israel

Wakati mfalme wa Sahmi alipokuwa kwenye vita pamoja na Israeli,"

Sasa

Hili neno limetumika hapa kugawanya katika hadithi kuu. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya hadithi.

akisema, "kambi yangu itakuwa sehemu flani

Mfalme wa Shamu alikuwa akiwaambia washauri wake wapi waweke kambi. Hapa nene "hivi na hivi" ni njia ya kurejea kwenye habari ya eneo la kambi bila kuiandika.

mtu wa Mungu

"Elisha mtu wa Mungu"

Kuwa makini usipite ile sehemu, kwa kuwa ndipo Washamu wanakoshukia hapo

Elisha alipajua mahali halisi ambapo Washami walipokuwa wanaenda kuweka kambi zao na kumshauri mfalme wa Israli kwa ajili ya maaskari wake kuiepuka hiyo sehemu.