sw_tn/2ki/05/26.md

1.2 KiB

je haikuwa roho yangu na wewe wakati yule mtu alipoyarudisha magari yake ya farasi ili kukutana na wewe?

Elisha anatumia hili swali kusisitiza kwamba Yahwe alimruhusu kuona kile Gehazi alichokifanya. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Unatakiwa kutafakari kwamba roho angekuona wakati Naamani aliposimamisha magari yake ya farasi na kuzungumza na wewe."

Je huu ni mda wa kupokea pesa na nguo

Elisha anatumia swali hili lisilo na majibu kusisitiza kwamba huu sio mda wa kuchukua zawadi. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Huu sio mda wa kupokea pesa ... watumishi wa kike."

ukoma wa Naamani utakuwa juu ya uzao wako

Hii inamzungumzia Gehazi na uzao wake kupata ukoma kana kwamba ukoma wa Naamani ulichukuliwa kutoka kwake na kupatiwa Gehazi. "wewe na uzao wako mtakuwa na ukoma, kama Naamani alivyokuwa na ukoma"

Basi Gehazi akatoka kwenye uwepo wake

Neno "uwepo wake" linarejea kwenye ambalo Elisha angeweza kumuona. Hii inamaanisha kwamba alikiacha chumba ambacho alichokuwa. Wakati Gehazi alipokicha hicho chumba, alikuwa"

kama theluji

Ukoma hufanya ngozi nyeupe. Hapa ngozi ya ukoma wa Gehazi unalinganishwa na rangi ya theluji. "na ngozi ambayo ilikuwa nyeupe kama theluji"