sw_tn/2ki/05/20.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown

# Alisafiri
"Naamani alisafiri"
# Gehazi
Hili ni jina la kiume.
# Tazama
Hili neno limetumika hapa kumvuta mtu usikivu kwa kile kitakachosemwa.
# amemuandaa huyu Naamani Mshami
"amemuacha Naamani Mshami kuondoka kirahisi"
# bila kupokea
"bila kukubali"
# kutoka kwenye mikono yake
Hapa naamani anarejea karibu na mikono yake kusisitiza tendo la kutoa. "kutoka kwake"
# Kama Yahwe aishivyo
"Kwa hakika kama Yahwe aishivyo." Hapa Gehazi analinganisha uhakika kwamba Yahwe yu hai kwa uhakika wa kile alichoamua kufanya. Hii ni njia ya kufanya ahadi ya sherehe. Kama Yahwe aishivyo, naahidi"
# wa wana wa manabii
Hii haimanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, lakini badala yake, walikuwa kundi la manabii.
# Tafadhali, wapatie talanta ya fedha na nguo mbili za kubadilisha
Gehazi anamuuliza Naamani awapatie hivi vitu yeye ili kwamba avichukue na kuwapatia manabii. "Tafadhali wapatie talanta ya fedha na nguo mbili za kubadilisha kuwapatia.
# Tazama
Hili neno limetumika hapa kuleta usikivu wa mtu kwa kile anachotaka kukisema.
# talanta ya fedha
Hii inaweza kuandikwa katika kipimo cha kisasa. "kilo 34 za fedha"