sw_tn/2ki/05/13.md

996 B

Baba yangu

Watumishi walikuwa wakionyesha heshima kwa Naamani kwa kumtambulisha kama "baba yangu" au "bwana."

usingeifanya?

Mtumishi anatumia hili swali kwa makini kumuonya Naamani. "hakika ungekuwa umemaliza!"

Je si zaidi basi?

Mtumishi analinganisha utayari wa Naamani ni kiasi gani zaidi ataweza kutii amri rahisi tangu awe tayari kutii ile ngumu.

Je si zaidi basi, atakapokwambia rahisi, 'Zama mwenyewe na uwe safi?

Mtumishi anatumia hili swali lisilo na majibu kusisitiza kwa Naamani kwamba anatakiwa atii amri ya Elisha. Hili swali linaweza kuandikwa kama kauli.

mtu wa Mungu

"Elisha mtu wa Mungu"

Mwili wake ulirudishwa tena kama mwili wa mtoto mdogo

Hii inazungumzia jinsi gani ngozi ya Naamani ilivyokuwa nyororo baada ya kuponywa kwa kuilinganisha na ngozi ya mtoto mdogo. "Ngozi yake ilikuwa imerudishwa tena na alikuwa laini kama ngozi ya mtoto mdogo"

Mwili wake

"Ngozi yake"

aliponywa

Hii inaweza kuainishwa katika umbo tendaji. "ukoma wake uliondoka"