sw_tn/2ki/05/11.md

762 B

Tazama

Hili neno linatumika kuleta usikivu wa mtu kwa kile kitakachosemwa. "Sikiliza"

jina la Yahwe

Hapa Yahwe inarejewa kwa jina lake. "Yahwe"

juu ya sehemu

"juu ya eneo la ngozi lenye ugonjwa" au "juu ya ukoma wangu"

Je sio Abana na Faepari, mito ya Damaskasi, bora kuliko maji yote ya Israeli?

Naamani anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kusisitiza kwambwa Abana na Faepari ni mito mizuri kuliko Yordani.

Abana na Faepari

Haya ni majina ya mito.

Je siwezi kuoga ndani yao na kuwa safi?

Naamani anatumia swali lisilo na majibu kusisitiza kwamba angeweza kuoga katika mito mingine kirahisi. Anaamini kwamba kuoga katika hayo yangeweza kumponya kama kuoga katika Yordani.

kwenda kwa hasira

"alikuwa na hasira kana kwamba alienda"