sw_tn/2ki/04/17.md

450 B

katika kipindi hicho mwaka uliofuata

"katika majira yale yale mwaka uliofuata"

Wakati mtoto alipokuwa

"wakati mtoto alipokuwa mkubwa"

Kichwa changu, kichwa changu

Mtoto alisema hivi kwa sababu kichwa chake kiliuma.

yule mtoto alikaa juu ya magoti yake hadi mchana na kisha akafa

Hapa magoti ya mwanamke yanahusu mapaja yake. Alimsaidia mwanaye katika mapaja yake hadi alipokufa. "alimsaidia juu ya mapaja yake hadi mchana kisha akafa"