# Maelezo ya Jumla:
Huyu mwanamke muhimu anaendelea kuongea mme wake kuhusu Elisha.
# Basi sisi
Hapa "sisi" inamhusu mwanamke muhimu na mume wake.