sw_tn/2ki/03/24.md

675 B

kambi ya Israeli

Hapa "Israeli" inawarejea maaskari Waisraeli pekee na sio taifa zima la Israeli.

Waisraeli wakashangazwa

Hapa "Waisraeli" inawarejea maaskari Waisraeli pekee na sio kwa taifa zima la Israeli. "maaskari Waisraeli walishangazwa"

walikimbia mbele yao

"kuwakimbia"

Kir-haresethi

Huu ni mji mkuu wa Moabu.

ilichwa na mawe yake

Kuta na majengo ya mji yalitengenezwa kwa mawe. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi. "bado kulikuwa na kuta za mawe yake na majengo"

na makombeo

"Kombeo" ni kipande kidogo cha ngozi chenye kamba ndefu pande zote za mwisho ambayo mtu anaweza kuweka jiwe au kitu kingine kidogo, kitu kigumu na kukitupa umbali mrefu.