sw_tn/2ki/03/13.md

1.3 KiB

Nifanye nini kwa ajili yako?

Elisha anatumia hili swali lisilo na majibu kusisitiza kwamba yeye na mfalme hawaendani. Hili swali linaweza kutafsiriwa kama sentensi. "Sina cha kufanya pamoja nawe."

kuwaweka kwenye mkono wa Moabu

Hapa "mkono wa Moabu" unarejea "utawala" wa Moabu. "kuwatoa juu ya utawala wa Moabu" au "kuwaruhusu kutekwa na jeshi la Wamoabu"

Kama Yawhe wa majeshi aishivo, ambaye nimesimama mbele zake, hakika

"Kama nijuavyo kwamba Yahwe wa majeshi aishivyo, ambaye nimesimama mbele yake, hakika." Hapa Elisha analinganisha uhakika kwamba Yahwe yu hai na uhakika kwamba, kama isngekuwa kwa ajili ya Yehoshafati kuwa huko, asingevuta usikivu kwa Yoramu. Hii ni njia ya kufanya ahadi nzito.

nimesimama mbele zake

Hapa kumtumikia Yahwe inazengumziwa kama kusimama katika uwepo wake. "ambaye nimtumikiaye"

je haukuwa ukweli kwamba ningeheshimu uwepo wa Yehoshafati mfalme wa Yeda, Nisingevuta usikivu wowote kwako

"Navuta usikivu kwako pekee kwa sababu naheshimu uwepo wa Yehoshafati mfalme wa Yuda"

naheshimu uwepo wa Yehoshafati

Hapa Yehoshafati anarejewa kwa uwepo wake. "Namheshimu Yehoshafati"

nisingevuta usikivu kwako, wala hata kukutazam

Haya maneno mawili yana maana moja na yanatumika pamoja kusisitiza kwamba asingevuta usikivu kwa Yoramu. "Nisingekuwa na chochote chochote cha kufanya pamoja nawe"