sw_tn/2ki/03/11.md

926 B

je hakuna nabii wa Yahwe, ambaye tunaweza kufanya shauri kuhusu Yahwe kupitia yeye?

Yehoshafati anatumia swali lisilo hitaji majibu hapa kueleza kwamba yamkini kwamba yeye ni nabii huko na kumtafuta alipo. "Ninauhakika kuna nabii wa Yahwe hapa! Nambie alipo, ili tuweze kumwambia Yahwe juu yake."

Shafati

Hili ni jina la kiume.

alikuwa akimimina maji kwenye mikono ya Eliya.

Hii lahaja inamaanisha kwamba ulikuwa msaada wa Eliya. Neno "kummiminia maji juu ya mikono" ni maelezo ya moja ya njia aliyomwokoa Eliya. "ambaye alikuwa msaada kwa Eliya"

Neno la Yahwe liko pamoja nami

Hii inamaanisha kwamba yeye ni nabii na kwamba Yahwe anamwambia nini cha kusema. "Huongea kile Yahwe amwambiacho kusema" (UDB)

wakashuka chini kwenda kwake

Walienda kumuona Eliya na kuhojiana pamoja naye kuhusu nini wangefanya. Maana kamili ya hii sentensi inaweza kuwekwa wazi. "kwenda kumuona Elisha kumuuliza nini wangefanya"