sw_tn/2ki/03/04.md

468 B

Alikuwa akimpatia mfalme wa Israeli kondoo 100,000 na manyoya ya kondoo dume 100,000

Mesha alitakiwa kutoa hivi vitu kwa mfalme wa Israeli kwa sababu ufalme wake ulitawaliwa na mfalme wa Israeli. Maana kamili ya hii sentensi inaweza kutengenezwa wazi.

kuhamasisha Israli yote kwa ajili ya vita

"kuwaandaa watu wa Israeli kwa ajili ya vita." Hapa "Israeli yote" inarejea kwa maaskari wote wa Waisraeli. "kuwahamasisha maaskari wote wa Israeli kwa ajili ya vita"