sw_tn/2ki/03/01.md

1.4 KiB

katika mwaka wa kumi na wa Yehoshefati mfalme wa Yuda

Hii inaelezea mda ambao Yoramu alianza kutawala kwa kusema ni mda gani mfalme wa Yuda aliyepo alivyoongoza. Maana ya sentensi inaweza kuwekwa wazi. "katika mwaka wa kumi na nane ambao Yehoshafati alikuwa mfalme wa Yuda"

mwaka wa kumi na nane

"mwaka wa 18"

Yoramu mwana wa Ahabu

Wakati mwingine huyu mtu anamrejea kama "Yoramu." huyu sio mtu mmoja kama mtu alyetajwa katika 1:17 aitwaye "Yehoramu."

Alifanya yale yaliyo sahihi usoni mwa Yahwe

Jina vumishi "uovu" unaweza kutafsiriwa kama kifungu jamaa. Hapa "uso" wa Yahwe inarejea kwa kile afikiriacho. "Alifanya mambo ambayo Yahwe alisema yalikuwa maovu"

lakini si kama baba yake na mama yake

Hii inalinganisha jinsi alivyofanya maovu kuwa chini kuliko kiasi hayo ni wazazi wake waliyafanya. "lakini hakufanya maovu zaidi kama baba yake na mama yake waliyoyafanya"

ile nguzo takatifu ya Baali

Hii nguzo ilitumika katika kumwabudu Baali, ingawa haijulikani vile ambavyo nguzo ilivyokuwa ikionekana. "jiwe takatifu la nguzo kwa ajili ya kumwabudu Baali"

alishikilia dhambi

Hii ni lahaja. Hapa "kushikilia" kwa kitu maana yake ni kuendelea kuifanya. "aliendelea kufanya dhambi"

Nebati

Hili ni jina la mwanamume.

hakuizacha

"Kugeuka" mbali na kitu ni lugha inayomaanisha kuacha kuifanya. "hakuacha kuzifanya hizo dhambi" (UDB) au "aliendlea kufanya hizo dhambi"