sw_tn/2ki/02/23.md

411 B

kupanda kutoka huko kwenda Betheli

Neno "kupanda" analitumia kwa sababu Betheli ni juu kupanda kuliko Yeriko.

Kupanda

Vijana wadogo walimtaka Elisha kwenda mbali nao na kueleza hii kwa kusema "panda juu."

upara

Watu mwenye upara hana nywele yeyote juu ya vichwa vyao. Vijana wadogo walikuwa wakimtania Elisha kwa kuwa na kichwa chenye kipara.

vijana arobaini na mbili

vijana wawili - "vijana 42"