sw_tn/2ki/02/17.md

424 B

Lakini walimsihi Elisha hadi akaona aibu

Wana wa manabii waliendelea kumuuliza Elisha hadi alipojisikia vibaya kuhusu kusema "hapana." "Waliendelea kumuuliza Elisha hadi alijisikia vibaya kwa kutaa swali lao, hivyo"

sikusema, 'msiende'?

Elisha anatumia swali lisilo na majibu kusisitiza kwamba aliwaambia awali nini kingetokea. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. "nimekwambia kwamba usiende, kwa sababu hutamkuta!"