sw_tn/2ki/02/15.md

808 B

wana wa manabii

Hii haimanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, isipokuwa, walikuwa kundi la manabii.

wakasujudu chini mbele yake

Wanamuonyesha heshima ya juu na kumkiri kama kiongozi wao mpya.

Roho ya Eliya imepumzika kwa Elisha

Hapa "roho" wa Eliya inarejea kwa nguvu yake ya kiroho. Hii inamzungumzia Elisha kuwa na huu uwezo wa kiroho kana kwamba ilikuwa kitu ambacho kilichopumzika kimwili juu yake. "Elisha anayo nguvu ya kiroho ile ile ambayo Eliya ameifanya" au "nguvu ya kiroho ELiya alikuwa nayo sasa iko na Elisha"

Ona sasa, miongoni mwa watumishi wako kuna watu hamsini hodari. Waache waende

Hawa watu anajirejea wenyewe wakati waliposema "watu shujaa hamsini." "Ona sasa, sisi ni watu hamsini hodari sasa sisi ni watumishi wako. Twendeni"

watu hodari hamsini

"Watu 50 hodari"