sw_tn/2ki/02/07.md

651 B

hamsini wa wana

"wana 50"

wana wa manabii

Hii haimanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, isipokuwa, hao walikuwa kundi la manabii.

kusimama kinyume nao

Hii inamaanisha kwamba walikuwa wamesimama, wakiwatazama. "kusimama kuwatazama" au "wamesimama wakiwaangali"

vazi

nje ya kipande cha nguo kinachotumika kufunika

Ule mto ukagawanyika katika sehemu mbili hivyo basi wawili hao wakatembea hadi nchi kavu

"Maji ya Mto Yordani yakafunguka hivyo kulikuwa na njia kavu kwa ajili ya Eliya na Elisha kukatiza upande mwingine"

pande zote

"upande wa kulia na kushoto." Hii inareje kulia na kushoto mahali Eliya alipokuwa ameyapiga maji.