sw_tn/2ki/02/03.md

417 B

wana wa manabii

Hii haimanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, lakini badala yake, kwamba walikuwa kundi la manabii. "Kundi la watu ambao walikuwa manabii"

Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo, sintakuacha

"Kwa hakika kama Yahwe aishivyo na kama usihivyo, sintakuacha." Hapa Elisha analinganisha bila shaka kwamba Yahwe na Eliya wako hai kwa hakika wa kile asemacho. Hii ni njia ya kufanya ahadi ya heshima.