sw_tn/2ki/02/01.md

426 B

Hivyo ikawa

"Hivyo ikatokea." Hiki kirai hutumika kutambulisha tukio lijalo katika hadithi.

uvumi

upepo mkubwa ambao usokotao kuzunguka na kuzunguka

Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo

"Kama hakika kama Yahwe aishivyo na kama uishivyo." Hapa Elisha analinganisha hakika kwamba Yahwe na Eliya wanaishi kwa hakika ya kile wanachokisema. Hii ni njia ya kufanya ahadi ya heshima. "kwa heshima nakuahidi kwamba hivyo"