sw_tn/2ki/01/15.md

627 B

Je ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli ambaye unayeweza kumuuliza habari?

Hili swali lisilokuwa na majibu liliulizwa kwa ajili ya kufanya shauri na Beel Zebubu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. Hii ni kejeli kwa sababu mfalme macho kwa Mungu wa Israeli. "Unadhani hakuna Mungu katika Israeli ambaye unayeweza habari!" au "Ninyi wapumbavu! mnajua kuna Mungu katika Israeli wa kufanya shauri, lakini mmetenda kana kwamba hamkfahamu."

hutaweza kushuka chini kutoka kwenye kitanda ulichokipanda

Wakati mfalme Ahazi alipokuwa ameumia, aliwekwa kitandani,. Yahwe akasema kwamba hatapona na kuweza kuinuka kitandani.