sw_tn/2ki/01/11.md

456 B

maaskari sabini

"maaskari 50"

Kama mimi ni mtu wa Mungu, ngoja moto ushuke kutoka mbinguni

Nahodha alimuita Eliya mtu wa Mungu, lakini nahodha na mfalme hakumuonyesha Eliya heshima inayostahili. Eliya alisema hivi basi moto utashuka chini kutoka mbinguni, na hii itathibitishs kwamba hakika Eliya alikuwa mtu wa Mungu na alistahili heshima yao.

moto kutoka wa Mungu

Hii inamaanisha kwamba moto ulishuka kutoka kwa Mungu. "moto kutoka kwa Mungu"