sw_tn/2ki/01/03.md

24 lines
810 B
Markdown

# Yahwe
Hili ni jina la Yahwe ambalo alijifunua kwa watu wake katika Agano la Kale.
# Mtishbi
Hii inarejea kwa mtu kutoka mji wa Tishbi.
# Je ni kwasababu hakuna Mungu katika israeli ambaye mnayekwenda kuuliza pamoja na Zebebu, mungu wa Ekroni?
Hili swali lisilokuwa na majibu liliulizwa kama onyo kwa kujenga Baal Zebubu. Pengine hii inaweza kuandikwa kama sentensi.
# taka shauri na Baal Zebubu
Neno "taka shauri" maana yake kupata oni la mtu kuhusu swali.
# Kwa hiyo Yahwe asema
Huu ni ujumbe wa Yahwe kwa Mfalme Ahazia. "Kwa hiyo Yahwe anamwambia Mfalme Ahazia"
# Hutaweza kushuka chini kutoka kwenye kitanda ambacho ulichokipanda
Wakati Mfalme Ahazi alipoumia, alilazwa kitandani. Yahwe amesema hatapona na kuweza kuinuka kitandani. "Hutapona na hutainuka kutoka kitandani ambacho unacholalia"