sw_tn/2ki/01/01.md

421 B

Moabu

"nchi ya Moabu"

waya zinazikinzana kwenye chumba chake juu

Chumba cha juu kilichokuwa kimejengwa kwenye paa la jumba la mfalme. Waya zilitengenezwa kwa kupambambwa na mbao zilizopishana juu ya moja baada ya nyingine kutengeneza ubaraza wa ghorofani au dirisha lililofunikwa. "bao za mbao zilizoizunguka sakafu iliyo sawa sawa ya jumba lake"

Baal Zebubu

Hili ni jina linaloonyesha cheo cha ukuu wa maovu.