sw_tn/2co/12/20.md

1.2 KiB

Naweza nisiwakute kama ninavyotaka

"Sitapenda vile nitakavyowakuta"

ninyi mnaweza msinikute kama mnavyotaka

"mnaweza msipende majibu yangu"

Nina hofu kwamba mnaweza msinipate mimi kama mnavyotamani. Nahofia kwamba kunaweza kuwa na majadiliano, wivu, milipuko ya hasira, tamaa ya ubinafsi, umbeya, kiburi, na ugomvi

"baadhi yenu mnaweza kuwa mnagombana na sisi, wenye wivu na sisi, ghafla wenye chuki na sisi, mnazungumza kuhusu mambo yetu ya binafsi, wenye kiburi, na kutupinga sisi tunapojaribu kuwaongoza". "baadi yenuwatakuwa wenye kugombana na kila mmoja, wenye wivu na kila mmoja, ghafla mnakuwa wenye hasira na kila mmoja wenye kiburi, na kuwapinga ambao Mungu amewachagua kuongoza"

Nitahuzunika kwa hao waliotenda dhambi tangu sasa

Nitakuwa na huzuni kwa sababu wengi wao hawakutubu dhambi zao za zamani"

hawakutubu kwa uchafu na uasherati na ufisadi na anasa waliokwisha zoea

"na hawakutubu kwa dhambi ile ya uasherati waliyoizoea" au "Paulo anazungumzia juu ya aina tatu za dhambi."

mambo ya uchafu

"ya mambo ya kufikiri kwa siri juu yake na kutamani vitu ambavyo havimpenfezi Mungu"

mambo ya uasherati

"kufanya mambo ya uzinzi"

mambo ya tamaa

"ya kufikiri mkwa siri juu yake na na kutamani vitu ambavyo havimpendzi Mungu"