sw_tn/2co/12/08.md

1.6 KiB

mara tatu

Paulo anayaweka maneo haya mwanzo wa sentensi kusisitiza kuwa ameomba mara nyingi kuhusu "mwiba wake"

Bwana kuhusu kuhusu hili

"Bwana kuhusu mwiba huu ndani ya mwili" au "Bwana kuhusu teso hili"

Neema Yangu yakutosha

"nitakuwa mnyenyevu kwako, na hivyo ndivyo unavyohitaji"

kwa kuwa nguvu hufanywa kamili katika udhaifu.

"kwa kuwa nguvu zangu zinafanya kazi vizuri wakati ukiwa dhaifu"

uweza wa Kristo uweze kukaa juu yangu

Paulo anazungumza juu ya "nguvu za Kristo" kuwa ilikuwa kama hnema lililojengwa juu yake."Watu wanaweza kuona kuwa ninazo nguvu za Kristo" au "Nitaweza kwa hakika kuwa na uweza wa Kristo."

ninatosheka kwa ajili ya Kristo, katika udhaifu, katika matukano, katika shida, katika mateso, katika hali ya masikitiko

Maana zawezakuwa"Nina utoshelevu katika udhaifu, katika matukano, katika shida, katika mateso, katika hali ya masikitiko kama vitu hivi vinakuja kwa sababu mimi ni wa Kristo" au "Nina utoshelevu katika udhaifu....kama vitu hivi vinawafanya watu kumjua Kristo"

katika udhaifu

"wakati ninapokuwa katika udhaifu"

katika matukano

"wakati watu wanapojaribu kunifanya nikasirike kwa kusema kwamba mimini mtu mbaya"

katika shida

"wakati ninapoteseka"

katika hali ya masikitiko

"wakati kuna mateso"

wakati nikiwa dhaifu, kisha nina nguvu

Paulo anasema hivyo wakati anapokuwa hana nguvu za kutosha kufanya yale ambayo anahitajika kuyafanya, Kristo aliye na nguvu zaidi kuliko Paulo angeweza kuwa, atafanya kazi kwa njia ya Paulokufaya yale anayohitaji kufanya.Hata hivyo, itakuwa vyema zaidi kuyatafsiri maneno haya kama yalivyoandikwa, kama lugha yako inaruhusu.