sw_tn/2co/10/11.md

953 B

Hebu watu wa jinsi hiyo wafahamu

"nawataka watu kama hao kufahamu"

kile tusemacho kwa waraka wetu wakati tukiwa mbali ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pale

"kilie tulichokikandika katika barua yetu tulipokuwa mbali nanyi"ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pamoja nanyi"

tukiwa mbali, ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pale

"tutatenda hivyo wakati tukakapokuwapo pale pamoja nanyi tulichokiandika katika barua yetu tulipokuwa mbali nanyi"

sisi..yetu

Sentensi zote za maneno haya yanarejea kwenye timu ya huduma ya Paulo na siyo Wakorintho.

kujikusanya wenyewe au kujilinganisha

"kusema tuko vizuri kama"

wanapojipima wenyewe na kujilinganisha na kila mmoja wao

Paulo anasema vitu vingi mara mbili.

wanapojipima wenyewe na kila mmoja wao

Paulo anazungumzia wema kuwa kama kilikuwa kitu ambacho urefu wake watu wangeupima.

hawana akili

"huonyesha kila mtu wasichokifahamu"