sw_tn/2co/09/08.md

446 B

Mungu anaweza kuwapa baraka na kuwazidishia

"Mungu ataongeza baraka kwa ajili yenu" Mtu aanayewapatia mahitaji ya kifedha waamini wengine, Mungu pia hutoa baraka zaidi kwa anayetoa. hivyo anayetoa atapokuwa na kila kitu anachohitaji.

ili kwamba muweze kuzidisha kila tendo jema.

"ili kwamba muweze kufanya matendo mema zaidi na zaidi"

kama ilivyoandikwa

"Kama iivyoandikwa" Yaweza kusemwa hivi: " "Kama vile mwandishi alivyoandika"