sw_tn/2co/09/06.md

640 B

mtu apandaye haba pia atavuna haba, na yeyote apandaye kwa lengo la baraka pia atavuna baraka

Paulo anatumia mfano wa mkulima anayepanda mbegu kufafanua matokeo ya utoaji. Kama mavuno ya mkulima inavyotegemea kiasi anachopanda, hivyo Mungu atatoa baraka kidogo au nyingi kutegemea kiasi ambacho Wakorintho wanatoa.

atoe kama alivyopanga moyoni mwake

Hapa neno "moyo" linamaanisha fikra na hisia'

si kwa huzuni au kwa kulazimishwa

Yaweza kusemwa kuwa: "kwa sababu anajisikia hatia au mtu kulmazimisha"

Kwa kuwa Mungu humpenda yule atoaye kwa furaha.

Mungu anawataka watu kutoa kwa furaha kusaidia kuwahudumia ndugu waamini.