sw_tn/2co/08/08.md

623 B

kwa kuupima uhalisi wa upendo wenu kwa kuulinganisha na shauku ya watu wengine

Paulo anawatia moyo Wakorintho kutoa kwa ukarimu wao kwa kuulinganisha na ukarimu wa makanisa ya Makedonia.

neema ya Bwana wetu

Katika mukutadha huu neno "neema" linasisitiza ukarimu wa Yesu Kristo amewabariki Wakorintho.

Hata kama alikuwa tajiri, kwa ajili yenu alikuwa maskini

Paulo anamzungumzia Yesu kabkla hajafanyika mwanadamu alivyokuwa tajiri, na kwa kufanyika mwanadamu kama kuwa maskini.

kupitia umaskini wake mweze kuwa tajiri.

Paulo anazungumzia Wakorintho kuwa matajiri kiroho kama matokeo ya Yesu kuwa mwanadamu.