sw_tn/2co/08/06.md

16 lines
609 B
Markdown

# aliyekuwa tayari ameanzisha
Paulo anaongelea fedha iliyokusanywa huko Korintho kwa ajili ya wakristo wa Yerusalemu.
# kuleta katika utimilifu tendo hili la ukarimu
Tito aliwakumbusha Wakorintho kukamilisha ukusanyaji wa fedha.
# Lakini ninyi mna wingi katika kila kitu
Paulo anazungumza juu ya waamini wa Korintho kama vile walikuwa wanatoa matunda ya mwuli.
# hakikisheni kwamba ninyi mnakuwa na wingi pia katika tendo hili la ukarimu.
Paulo anazungumzia waamini wa Korintho kama vile wanavyopaswa kutoa matunda ya mwili "hakikisheni mnafanya vyema katika kuwahudumia waamini katika Yerusalemu."