sw_tn/2co/06/14.md

1.4 KiB

Habari za Jumla

Katika mstari wa 16, Paulo anachukua wazo la vifungu vingi kutoka manabii wa Agano la Kale "Musa, Zekaria, Amosi, na huenda na wengine.

Msifungamanishwe pamoja na wasioamini

Sentensi hii aweza kuelezwa kwa jinsi ya kukubali: "mfungamanishwe pamoja na waaamini peke yake"

lakini mfungamanishwe pamoja na

Paulo anazungumzia juu ya kufanya kazi pamoja kuelekea kusudi la pamoja kama vile ilivyo kwa wanyama wawili waliofungwa pamoja kuvuta jembe au mkokoteni.

kuna uhusiano gani kati ya haki na uasi?

Hili ni swali la kujihoji ambalo hutegemea jibu hasi.

Na kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?

Paulo anauliza swali hili kusisitiza kuwa nuru na giza haviwezi kuchangamana maana nuru huondoa giza. Maneno "nuru" na "giza"? yanaelezea uboro wa maadili ya mwili na kiroho kwa waamini na wasioamini.

Ni makubaliano gani Kristo anaweza kuwa nayo na Beliari?

Hili ni swali la kujihoji ambalo linategemea jibu hasi.

Beliari

Hili ni jina jingine la mwovu.

Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na asiyeamini?

Sentensi hii aweza kuelezwa kwa jinsi ya kukubali: "mfungamanishwe pamoja na wasamini peke yake"

Na kuna makubaliano gani yapo kati ya hekalu la Mungu na sanamu?

Hili ni swali la kujihoji ambalo linategemea jibu hasi.

sisi ni hekalu la Mungu aliye hai

Paulo ana anamaanisha wakristo wote kuwa wanatengeneza hekalu ili Mungu kuishi ndani yake.