forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.0 KiB
Markdown
32 lines
1.0 KiB
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Paulo anajumuisha jinsi gani kufanya kazi kwa pamoja inavyopaswa kuwa.
|
|
|
|
# Habari za Jumla
|
|
|
|
Katika mstari wa pili Paulo an nukuu kifungu kutoka kwa nabii Isaya.
|
|
|
|
# Kufanya kazi Pamoja
|
|
|
|
Paulo anamaanisha kuwa yeye na Timotheo wanatumika pamoja na Mungu
|
|
|
|
# tunawasihi ninyi msiipokee neema ya Mungu pasipo matokeo
|
|
|
|
Paulo anawasihi paoja nao kuiruhusu neema ya Mungu kufanya kazi katika maisha yao.
|
|
|
|
# Kwa kuwa anasema
|
|
|
|
"Kwa kuwa Mugu anasema" Hii inatambulisha nukuu kutoka kwa nabii Isaya. "Kwa kuwa Mungu anasema katika maandiko"
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
Neno "Tazama" mahali hapa linatukumbusha kuwa wasikivu kwa habari zijazo zinazostajabisha.
|
|
|
|
# Hatuweki jiwe la kizuizi mbele ya mtu yeyote,
|
|
|
|
Paulo anazungumzia juu ya kitu chochote ambacho kinaweza kumzuia mtu kutotumaini katika Kristo kama vile ilivyokuwa kifaa cha mwili juu ya kile ambacho mtu yule huteleza na kuanguka.
|
|
|
|
# kwa kuwa hatuitakii huduma yetu iletwe katika sifa mbaya.
|
|
|
|
Neno "sifa mbaya " lina maanisha watu kusema vibaya kuhusu huduma ya Paulo .
|