sw_tn/2co/05/16.md

642 B

Sentensi Unganishi

Kutokana na pendo la Kristo, na kifo chake, hatupaswi kuhukumu kwa vigezo vya kibinadamu.Tumechaguliwa kuwafundisha wengine jinsi ya kuungamanishwa pamoja na kuwa na amani pamoja na Mungu kwa njia ya kifo cha Kristo na kupokea uadilifu kwa njia ya Kristo.

Kwa sababu hii

Ina maanisha kile ambacho Paujlo amekisema kuhusu kuishi kwa ajili ya Kristo badala ya kuishi kwa ajili ya nafsi.

yeye ni kiumbe kipya.

Paulo anazungumza juu ya mtu anyeamini katika Kristo kama vile ameumba mtu mpya

Mambo ya kale yamepit

"mambo ya kale" ina maanisha vitu vinavyoelezea tabia ya mtu kabla ya kumwamini Yesu Kristo.