sw_tn/2co/04/11.md

16 lines
891 B
Markdown

# Sisi tulio hai siku zote tumetolewa kufa kwa ajili ya Yesu
Kubeba kifo cha Yesu huwakilisha kuwa katika hatari ya kufa kwa sababu ya kuwa mwaminifu kwa Yesu.
# ili kwamba uhai wa Yesu uonekane katika miili yetu ya kibinadamu
Mungu anahitaji maisha ya Yesu yaonekane kwetu. Maana pendekezwa zaweza kuwa "miili yetu itaishi tena, kwa sababu Yesu yu hai. au "maisha ya kiroho ambayo Yesu hutoa pia yaweza kuonyeshwa katika miili yetu"
# ili kwamba uhai wa Yesu uonekane katika miili yetu ya kibinadamu
Sentensi hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "ya kwamba watu wengine wanan weza kuyaona maisha ya Yesu katika miili yetu"
# kifo kinafanya kazi ndani yetu, bali uzima unafanya kazi ndani yenu.
Paulo anazungumzia kifo na uzima kama watu ambao wanaweza kufanyakazi. Hii ina maana kwamba daima wako katika hatari ya kifo cha mwili kwa hiyo Wakorintho wapate uzima wa kiroho.